Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale
mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na
dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata
pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na
kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?
na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa
ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote
wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Tags
MOCHWARI
