BANDA MEDIA BLOG

Hivi Ndivyo Nape Nnauye Alivyomkabidhi Ofisi Mwakyembe Leo..!!!


Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye leo amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk Harrison Mwakyembe.
 Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Profesa Elisante Ole Gabriel.
Wengine walioshuhudia makabidhiano hayo ni Naibu Waziri Anastazia Wambur

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG