Sijui kwa wengine hili limekaaje ila
binafsi naona gari nalo ni kivutio kwa hawa dada zetu, kuna binti hapa
mtaani enzi hizo sina gari aliniwekea ngumu ila mwaka jana nilivyomiliki
gari yani alilegeza hata sikuamini.
I mean kuna siku kuna bidada anajiheshimu sana tu nilimpa lifti tukabadilishana contacts kesho yake kiutani nikamwambia tumeet akakubali fasta yani nikawa nacheka tu maana ilikuwa natania.
Kuna matukio mengi sana ambayo yalinithibitishia kuwa hawa dada zetu wana kaugonjwa kwa wanaume wenye magari, Japo haya matukio huwa yananitokea mimi najiheshimu na nampenda sana mpenzi wangu sipo tayari kutake advantage kwa hawa mabinti wa lifti.
Je unaonaje Mdau ni kweli wadada wanapenda wanaume wenye magari au la?

Tags
MAHUSIANO