Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akimkabidhi cheti cha kutambua
mchango wa kampuni ya Bin Slum kwa mchango wake katika maendeleo ya
wilaya ya Mbulu baada ya kampuni hiyo kupitia kwa meneja Mauzo wake Bw.
Salum Aljabiry kumkabidhi moja ya matairi 12 ya magari madogo kutoka
kwa Kampuni ya hiyo jijini Dar es salaam .Kampuni ya Bin Slum imetoa
msaada huo kwa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ili kuunga mkono juhudi
za Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Mkurugenzi wa Harmashauri ya
wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akipokea moja ya matairi 12 ya
magari madogo kutoka kwa Salim Aljabiry Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bin
Slum .Kampuni hiyo imetoa msaada huo kwa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu
ili kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Baadhi ya matairi yanayouzwa na kampuni ya Bin Slum Chang’ombe jijini Dar es salaam.
Tags
MSAADA