Mwanasheria wa Chadema na rais wa TLS akiwa anahojiwa na radio Times FM
akijibu ni jambo gani ambalo wanaweza kumpongeza rais Magufuli amedai
yapo na TLS wameomba mwaliko wa rais ili wakampongeze.
Tundu Lissu amedai rais ametenda mengi na mengine ni mazuri na pia
anastahili pole kwa kuwa kazi ya urais ni kazi ngumu, akisema alimuona
jana alikuwa amechoka
