Mkurugenzi Idara ya Habari(
MAELEZO) Dkt Hassan Abbasi akitoa mada katika kikao kazi cha maafisa
Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo Marchi 17,2017.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi Nuru Millao akifuatilia mada katika
kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini
Dodoma Leo March 17,2017.
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano
Serikalini wakfuatilia amda katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano
Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.
Picha zote na Raymond Mushumbusi (WHUSM) Dodoma
Tags
HABARI KITAIFA