Makonda Arudi Bongo kimya Kimya,Leo Aonekana Kurasini Akizindua Barabara..!!!!
byJohn Banda-
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya
Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja;
Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech
iliyogharimu takribani milioni 350.