Makonda: Mimi Sio Mwanasiasa, Sitafuti Sifa za Kijinga....!!!!
byJohn Banda-
0
Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo jana Dar wakati alipowatembelea
wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo
hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta
sifa za kijinga??