Mzee wako alikuwa na busara, Ila huyu jamaa tulienae sasa? Yeye hajajua power yake ndo maana anaitumia vibaya..... .
.
Ila twende mbele turudi nyuma. Ridhwani wewe ulisumbuliwa sanaaaaa na
maneno ya mitandaoni mpaka ukamuingiza babako chaka..... Na usiseme
kwamba baba yako alimwachia Mungu. Hapana hakumwachia Mungu mwisho
alichukua ushauri wako wa kipuuzi Na akatia saini sheria za mitandao
ambayo leo Hii ndo huyu kichaaa anatumia kutufunga midomo.... Ridhwani
unakumbuka jinsi wewe na January Makamba mlivyoteam up tweeter kuitetea
sheria ya Mitandao?? I think pale ndo nilipokutema rasmi. I think
nilikuposti wewe na January Na nikawachamba kisawasawa, wewe na January
mlidhani sheria ya mitandao itawakinga Na vichambo vya mitandaoni
hamkuangalia madhara makubwa ya ile sheria. Sasa oneni Leo mnavyotesa
watanzania..... Na niliwaambia wewe Na January , niliwaambia hii sheria
inaminya freedom of speech. Sio mimi to kila mtu aliwaambia Ila ndo
ilikuwa enzi zile nchi yenu mlikuwa hamsikiiii la mtu.... Enzi zile wewe
Na January ndo mahot cake wa mjini mnajifanya mnajua kila kitu,
mnajifanya Miungu watu
.
.
Kwa hiyo Ridhwani unakuwa unaongea uwongo ukisema dingi alimwachia
Mungu, Hapana dingi hakumwachia Mungu, Dingi alikusikiliza wewe na
January Makamba Na akaamua kudo something about it like you asked him to
Na akaisaini sheria ya Mitandao....
.
.
Kwa kiasi kikubwa mnoooo wewe umemuwezesha Magufuli kutufunga midomo kwenye mitandao...
.
.
Kwahiyo Riz we piga kimya tuicheze sote hiii ngoma ya mirembe mpaka 2020.....
Source Mange Page
Tags
AAH
