Mahakama ya wilaya ya Ilala imewaita mahakamani Freeman Mbowe na mkewe
pamoja na aliyekuwa meneja wa klabu ya Bilicanas, Steven Miligo kwa
maombi ya mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kuwapata
kwa kutumia barua za wito.
TRA inawashutumu kwa kushindwa kutumia mashine za EFD kutoa risiti, kutoa nyaraka za uongo kwa TRA na kushindwa kutekeleza matakwa ya usimamizi wa kodi.
TRA inawashutumu kwa kushindwa kutumia mashine za EFD kutoa risiti, kutoa nyaraka za uongo kwa TRA na kushindwa kutekeleza matakwa ya usimamizi wa kodi.
Tags
KODI