BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA WILAYA YA DODOMA CHRISTINA MNDEME AZINDUA KAMPENI YAKE YA MAGAUNI 4, KWA AJILI YA KUPINGA MIMBA MASHULENI

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Christina Mndeme akifafanua jambo wakati alipokuwa akizindua rasmi kampeni ya magauni ambayo ni maalum kwa ajili ya kupinga mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari uliojumuisha shule 8

Mbunge wa Dodoma mjini Anthon Mavunde na naibu waziri wa Kazi, Vijana na Aajira akizungumzia kampeni hiyo ya mauni 4 iliyofanyika katika shule ya Dodoma Sekondari

Walimu na wanafunzi wa shule 8 zilizoshiriki uzinduzi huo wakipunga mikono 

wanafunzi wa Dodoma sekondari wakionyesha mfano wa magauni 4 mbele ya viongozi na wazazi waliofika kwenye uzinduzi huo, ambapo gauni la kwanza ni la sale za shule, la pili ni la mahafari ya chuo kikuu, la tatu Shela la harusi na la nne ni ujauzito PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Hidaya Maeda akizungumza jambo katika uzinduzi huo

Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa Tv Maimartha Jesse toka Jijini Dar akizunguzia athari za mimba kwa wanafunzi kwenye uzinduzi huo

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Dodoma Felister Bura akizunguza jambo

Muwakilishi wa Chuo cha mipango


Mwalimu Mariamu Nyembela wa shule ya Nzuguni B akitoa burudani ya nyimbo ya magauni 4 katika uzinduzi huo

Mc Pilipili aliyekuwa akisherehesha uzinduzi huo na ambaye kwa sasa ni MC no moja nchini akishika tumbo la mmoja wa wanafunzi wa Dodoma Sekondari aliyeigiza kama mwanafunzi aliyepata mimba akiwa shuleni 

Burudani

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dodoma


DC akiwa katika picha na wanafunzi walioigiza magauni 4

Msemaji wa DOYODO mr Jaruo akipeana mkoano na mkuu wa Wilaya

Mkuu wa Wilaya na Maimartha

Mc pilipili ambaye pia alisoma shule ya Dodoma Sekondari na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Christina Mndeme wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi walioshiriki uzinzi huo

Maimartha Jesse akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi mara baada ya uzinduzi huo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG