Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Dk. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano mkuu wa CCM unaofanyika
kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo kwa ajili ya kupitisha
mabadiliko madogo ya 16 ya Katiba ya chama hicho ili kuleta tija ya
utendaji wa chama na kuisimimia serikali kwa ufanisi mkubwa ambapo idai
ya wajumbe katika vikao vya ngazo zote zitapungua na kupunguza vikao
pia.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Dk. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dk.
Jakaya Kikwete katika mkutano mkuu wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa
Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuingia ukumbini kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania akiimba wimbo pamoja na Rais Mstaafu Mzee Ali
Hassan Mwinyi na kushoto ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Wajumbe kutoka mkoa wa Lindi kutoka kulia ni Mama Salma Kikwete , Nape Nnauye na Mzee Ali Mchumo wakiwa katika mkutano huo.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Geita Joseph Kasheku Msukuma akiwa na wajumbe wenzake kwenye mkutano mkuu wa CCM.
Wajumbe kutoka mkoa wa Iringa kushoto ni Salim Abri Asas na Fredrick Mwakalebela wakiwa katika mkutano huo.
Mjumbe Christopher Olesendekana wajumbe wenzake.
Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kushoto akifuatilia matukio katika mkutano huo.
Kundi la TOT likitumbuiza katika mkutano huo.
Wajumbe kutoka shirikisho la vyuo vikuu.
Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano.
Baadhi ya wasanii wakiwa katika mkutano huo kulia ni Banana Zorro na kushoto ni Thea.
Mwimbaji wa taarab Siza Mazongela pamoja na waimbaji wenzake wakifanya vitu vyao jukwaani.
Mjumbe kutoka Tabora Hussein Bashe akifurahia jambo na mjumbe mwenzake.
Mjube kutoka mkoa wa Singida Bw. Miraji Mtaturu na wajumbe wenzake wakiwa katika mkutano huo.
Kikundi cha utamaduni kutoka mkoani Dodoma kikitumbuiza.
Mjumbe Bagwanji Meisuria kutoka Zanzibar akicheza muziki wakati TOT ikitumbuiza.
Wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa katika mkutano huo
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa katika mkutano huo.
Tags
CCM