February 28 2017 Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape
Nnauye wakati wa mkutano na wadau wa michezo leo, alitangaza majina ya
watu kumi wanaounda kamati ya kuhamasisha watanzania katika kuiunga
mkono timu ya taifa ya vijana ya Serengeti boys kuelekea AFCON 2017
U-17.
Waziri Nape ametangaza kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo mtangazaji mkongwe Charles Hilary wa AzamTV, Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba, Mtangazaji wa E-FM Maulid Kitenge, Waimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na Alikiba wametajwa pia katika list hiyo.
Ameongea zaidi kwenye hii video hapa chini……..

Tags
KIBURUDANI