Picha ya mchoro wa binadamu wa kale wakitembea katika eneo la Laeto lilililoko km 45 kusini mwa Olduvai gorge.
Mhifadhi wa Masalia ya kale
(Palentolojia) wa makumbusho yaTaifa Dkt. Agnes Gidna akitoa maelezo
kuhusu historia ya binadamu wa kale pamoja na nyazo zake zilizoumbuliwa
Laetori Tanzania kwa wageni wanaotembelea banda la Tanzania .
Mtangazaji wa kituo cha Umma
cha televisheni cha Ujerumani Bw. Hoeks akifanya mahojiano mubashara na
Mhifadhi wa Palentolojia wa Makumbusho yaTaifa Dkt. Agnes Dignambele
picha ya mchoro na nyayo zazamadamu ndani ya banda la Tanzania
lililopo katika maonesho ya ITB Berlin Ujerumani.
Meneja Masoko wa Bodi ya
Utalii Tanzania Bw. Geofrey Meena (wapilikulia) akitoa maelezo kwa
wageni kuhusu vivutio mbalimbali vilivyopoTanzania kwa wageni
wanaotembelea banda la Tanzania katika maonesho ya ITB.
…………..
Na: GeofreyTengeneza- Berlin.
Nyayo na picha za michoro ya
binadamu wa kale (zamadamu) zinazooneshwa katika banda la Tanzania
kwenye maonesho ya Kimataifa ya ITB yanayoendelea hapa Berlin Ujerumani
sambamba na maelezo sawia ya historia yake inayotolewa na mhifadhi wa
Paleontolojia (masaliaya kale) Dkt. Agnes Gidna kutoka Makumbusho
yaTaifa Bi wakishirikiana na maafisa waandamizi wa Bodi ya Utalii
Tanzania inawapagaisha maelfu ya wageni wanaotembelea banda la Tanzania
katika maonesho hayo.
Nyayonamichorohiyoyabinadamuwa
kale anayesadikiwakuishimiakatakribanimilioni 4 iliyopitakatikaeneo la
Laetorikilometa 45 kusinimwaOldvai gorge
pamojanavielelezombalimbalivyavivutiokadhaamuhimuvya Tanzania kama vile
mlima Kilimanjaro, Bonde la Ngorongoro,
wanyamawanaohamakatikahifadhiyaTaifaya Serengeti
n.kvimekuwachachuyakuvutiawageniwanaotembeleabanda la Tanzania
ambaopiawameoneshadhamirakubwayakuitembelea Tanzania.
KwamujibuwaMkurugenziMwendeshajiwaBodiyaUtalii
Tanzania
BiDevotaMdachipamojanautangazajimkubwawavivutiombalimbalivyautaliivya
Tanzania unaofanywakatikamaoneshohaya, TTB
imeamuapiamwakahuukuwekamkazomaalumukatikakuitangaza Tanzania
kamachimbuko la binadamuwa kale.
Tags
UTALII