Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la
Mawaziri mjini Dodoma leo tarehe 9/03/2017. Kikao hicho pia
kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha baraza la mawaziri mjini Dodoma leo kulia ni
Mh. Mwaziri Mkuu Kassim Majaliwa
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa
kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo
Waziri wa Habari, Utamadunzi ,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akimuelrezea jambo Waziri wa Viwanda na
Biashara Mh. Charles Mwijage wakati wa mkutano Baraza la Mawazili
uliofanyika mjini Dodoma leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo mjini Dodoma.
Tags
HABARI KITAIFA