|
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ally Maswanya akihutubia wakazi wa Geita mara
baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini
ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya
simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani
ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla
iliyofanyika mkoani Geita jana.
|
|
Tags
VYETI VYA KUZALIWA