Balozi Clement George Kahama,
aliyejulikana zaidi kama Sir George alizaliwa tarehe 30 Novemba, 1929
katika Wilaya ya Karagwe na kufariki dunia tarehe12 Marchi, 2017 katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya
kuugua ugonjwa wa Figo Renal Failure) kwa takribani miaka miwili.
Katika uhai wake, Marehemu
alifanyakazi katika Serikali kwa vipindi mbalimbali zaidi ya miaka 50
ikiwemo awamu tatu za uongozi wa taifa hili baada ya uhuru wa Tanganyika
tarehe 9 Desemba, 1961. Marehemu Sir George alikuwa miongoni mwa
waafrika wachache waliopata fursa ya kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la
Kutunga Sheria yaani Legislative Council mwaka 1957 na miaka miwili
baadaye kuteuliwa kuwa Waziri katika Baraza la Mawaziri la Serikali ya
Mpito ya kikoloni kuelekea uhuru kwa nafasi ya Waziri wa Ushirika na
Ustawi wa Maendeleo ya Jamii akiwa na Wenzake wazalendo Chief Abdalah
Fundikira, Amir Jamal, na Solomon Eliufoo na Mwalimu akawa Waziri
Kiongozi ( Chief Minister).
Baada ya Uhuru Mwaka 1961, Mhe
Balozi George Kahama aliteuliwa kuwa Waziri wa kwanza wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi katika Baraza la Mawaziri la Watu tisa na Baba wa
Taifa Mwalimu Julius Nyerere akiwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika
huru.Kutoka Uhuru mwaka 1961 hadi mwaka 2005 Sir George Kahama
aliuteuliwa na Baba wa taifa na baadaye Mhe. Benjamin Mkapa, Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu, kushika nyazifa za Wizara mbalimbali
serikalini zikiwemo Wizara ya Mawasiliano, Uchukuzi na Ujenzi, Wizara ya
Biashara na Viwanda, Wizara ya Maliasili na Utalii na Wizara ya
Ushirika na Masoko, Waziri Ofisi ya Rais anayeshughulikia Ustawishaji wa
Makao Makuu Dodoma na wakati huo huo akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Ustawishaji wa Makao Makuu Dodoma (CDA).
Katika muda wote wa utumishi wa
Umma, Sir George aliaminiwa sana na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
baadaye Mhe Benjamin Mkapa kwa nyakati tofauti waliweza kumtuma katika
nchi mbalimbali kuwa wakilisha kama mwakilishi maalum wa Rais (Special
Envoy) katika nchi mbalimbali ikiwemo Zaire ambayo sasa inajulikana
kama DRC, Burundi na Rwanda, Holy See (Vatican) na nchi nyingine.
Kazi nyingine alizowahi kufanya
Mhe Sir George Kahama ni pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Shirika
la Maendeleo la taifa (NDC),taasisi iliyopewa jukumu la kusimamia
uanzishwaji wa Viwanda nchini, Mkurugenzi Mkuu na mwanzilishi wa Kituo
cha Kuvutia wawekezaji (IPC) ambacho baadaye kimekuja kujulikana kama
Tanzania Investment Centre-TIC. Kablaya Uhuru Sir George alikuwa
kiongozi wa Chama cha ushirika cha Bukoba, chama ambacho kilitoa msaada
mkubwa wa hali na mali katika kusaidia harakati za ukombozi na
kuimarisha TANU kama ilivyokuwa kwa vyama vingine vya Ushirika katika
maenembalimbal nchini. Itakumbukwa kuwa Wazalendo watano waliounda
Baraza la Mawaziri la Serikali ya Mpito mwaka 1959 akiwemo Mzee Paul
Bomani, Chief Abdullah Fundikira (Tabora), Solmon Eliufoo (Kilimanjaro),
Amir Jamal ( Morogoro) na Kahama Mwenyewe (Kagera) walikuwa viongozi
katika vyama vya ushirika katika maeneo waliyotoka.
Aidha, katikaUhai wake, Sir George
Kahama aliwahi kutumikia taifa katika nyanja za kidiplomasia kama
Balozi wa Tanzania Ujerumani mwaka 1965-1966, Baloziwa Tanzania China
(1984- 1989) na Balozi wa Tanzania Zimbabwe (1989-1991).
Katikauhai wake, Sir George
KahamaaliwahikutunikiwanishanimbalimbalizakitaifanaKimataifaikiwemo
Knight Commander of the Order of St. Gregory the Great iliyotolewana
Pope John XXIIImwaka 1962. Hiindiyonishaniiliyozaajina la Sir
George.Nishanizinginenikama“The Order of Kilimanjaro
iliyotolewanaRaisMstaafu Ali Hassan Mwinyi
1990,ambayoninishaniyajuukabisawanayotunukiwawatumishiwaumma. Mwaka
1975-1976 alikuwaMjumbewaKundi la
WatuMashuhuridunianiwalioteuliwanaKatibuMkuuwaUmojawaMataifakufanyautafitikuhusuatharizaUendeshajiwaMakampuniMakubwayaKimataifakatikauchumiwanchizanazoendelea.
Mabadilikombalimbaliyaliyofanyikandaniya
Chama cha MapinduzinaSerikaliikiwemoSerikalikuhamia
Dodomakwakasikubwanachamakuimarikazaidikumetokeasikuchachekablayakufarikikwakenakutimizandotoyakezaidiyamiaka
40 aliyojishughulishanamradiwaUstawishajiyaMakaoMakuu.
Mwaka1976, Sir George
aliteuliwanaSerikaliya Nigeria
kamaMjumbewaKamatiyawatuwatatuwaliopewakaziyakufanyatathminiyamchakatowauhamishajiwaMjiMkuuwa
Nigeria kutoka Lagos kwenda Abuja.
Sir George
aliwahikuandikamaandikonavitabumbalimbalikatika Nyanja zaKidiplomasia,
Ushirika, Uchumi, MaendeleoyaUjenzi,ikiwemokitabu cha “The Challenge
for Tanzania’s Economy” kilichochapishwanakampuniya JamesCurrey
Heinemann yaUingelezana “Tanzania into the 21stCentury”,piaalichangiakuandikakitabu
cha “The First Tanganyika Industrial Development Blue Print” pamojana
Arthur D. Little Inc. waMarekani.
MbalinautumishiSerikalini, Sir
GeorgeKahamaalikuwa Baba mzuriwafamiliaaliyependaumojawafamilianaalikuwa
baba tuliyemtegemeakwaushaurinadirakatikamaishayetu.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe
UtaratibuwaMaombolezonaMazishiyaBalozi Sir Clement George KahamaaliyefarikiDuniatarehe 12 Machi, 2017
Mwiliwamarehemuutawasilinyumbanikwakeeneo
la Mikocheni B kituo cha Mabasikijulikanachokama Business, mnamosaa 11
jionitarehe 15 Machi, 2017 (Jumatano) nakukeshahadiasubuhitarehe 16
Machi, 2017.
MwiliwaMarehemuutaondolewanyumbanikwakekuelekea
Julius Nyerere International Convention Centre
kuanziasaambilikamilikwaajiliyaviongozimbalimbalinawananchikutoaheshimazaozamwishokablayakuelekeaKanisa
la Mtakatifu Petro ( St. Peters) Oysterbay Dar es salaam saatanonanusu
5.30 asubuhikwaibada.
IbadayamazishiitafanyikakatikaMakaburiyaKinondonikuanziasaatisananusu 9.30 alasili.
Tags
TANZIA