BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ASHIRIKI MAZOEZI YALIYOAGIZWA NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YA KILA JUMAMOSI YA PILI YA MWEZI, NA KUAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKI KILA JUMAMOSI KWA KUWA TAYARI WIZARA YAKE IMESHAHAMIA DODOMA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akimaliza mazoezi ya Jogging ya km 5 yakianzia viwanja vya Bunge mpaka uwanja wa jamhuri Dodoma,  pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tamisemi, Wilaya, mkoa na wakazi wa mji huo

Wanamichezo wa Dodoma Fitness Jogging wakishiriki mazoezi ya km 5 na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, watumishi wa Tamisemi, wilaya na mkoa yaliyoanzia viwanja vya Bunge mpaka uwanja wa Jamhuri

Waziri wa Afya  Ummy Mwalimu akishiriki mazoezi ya viungo katika uwanja wa jamhuri [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]


Mama Issa Bonge wa Dodoma Fitness Jogging akishiriki mazoezi ya Mgongo katika mazoezi hayo

Katibu na Mwalimu Dodoma Fitness Jogging Wille Mteko akihamsisha katika mazoezi hayo

Mazoezi yakiendelea

Afsa Habari wa Taasisi ya Vijana ya DOYODO mwenye jezi ya Orenge akishiriki mazoezi hayo


Mwalimu Mussa Omary na Failuna Bakari wakiongoza mazoezi hayo  

Picha ya pamoja

Watumishi wa Ofisi ya Rais Tamisemi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazoezi hayo

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akizunguza jambo baada ya mazoezi haya

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG