Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia akiwa ameambatana na baadhi ya wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi, CCM wakikabidhi vitu mbalimbali Kwa mkurugenzi wa hospitali
ya Ocean Road hii leo jijini DSM.
Waziri wa Elimu Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiwa ameambatana na viongozi wa
hospitali hiyo muda mfupi baada ya kuwasili katika hospitali hiyo.
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknlojia Profesa Joyce Ndalichako akiwajulia hali wagonjwa mbalimbali
ambao alifika kuwajulia hali pamoja na kuwapatia msaada wa vitu
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Tags
AFYA