
Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa
la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na
kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule
Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao
Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini kupakua makontena
mizigo, chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi, pumba na
unga uliokorogwa...walikuwa hawanywi maji ila damu
Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi kula huko(ubwabwa
anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na watu
kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi
kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida
Tags
MAAJABU