Ndege hatari na mpya zilizotengenezewa kwa teknolojia ya hali ya juu za
F-35 Stealth Fighter Jets tayari zimeruka kutoka jimbo la Utah lililopo
magharibi mwa nchi ya Marekani na kutua UK tayari kabisa kwa training ya
mwisho kuelekea uwanja wa vita. Ndege hizi ambazo ni mpya na toleo la
mwisho limemalizika kutengenezwa na kujaribiwa March mwaka huu 2017
zinatajwa kuwa ndege hatari zaidi katika Ground Attacks na Air Defence
Missions. Zimepelekwa nchini Uingereza kwa training ya mwisho kuingia
vitani ikiwa na malengo mawili, moja zitabaki bara la ulaya kulinda
uvamizi wa Urusi na pili kupelekwa uwanja wa vita huko Norh Korea.
Wakati huohuo makamu wa rais wa marekani bwana Mike Pence Leo asubuh
ametembelea ngome (base) ya marekani huko Korea ya kusini ya Camp
Bonifas ambayo iko mpakani kabisa mwa North Korea na South Korea eneo
lenye tension kubwa zaidi na hofu. Pence amewatoa hofu wananchi wa South
Korea kuwa USA iko tayari kuwalinda na madhara ya vita inayokwenda
kutoka muda sio mrefu kwa hiyo wasihofu kabisa kuhusu usalama wao. Bwana
Pence amesema Kim aache kutest makombora Mara moja na badala yake
ayaingize uwanja wa vita kabisa kuliko mbwembwe za majaribio
yasiyofanikiwa. Mike Pence ameziomba jumuia za kimataifa kuungana na
Marekani kuuangamiza kabisa utawala wa Pyongyang chini ya Dikteta Kim.
Hotuba hii ya leo ya Makamu wa Rais bwana Pence huko Camp Bonifas, South
Korea inaonyesha dhahiri kuwa ni wazi Marekani inakwenda kuivamia
kijeshi North Korea muda wowote kuanzia leo
Source: CNN na NBC News
