
Rais John Magufuli amesema watumishi 9732 waliobainika na vyeti feki
wakatwe mshahara wa mwezi huu na wafukuzwe kazi na kisha wachukuliwe
hatua kwa kufungwa jela miaka saba.
Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.
“Hawa ni majambazi, majizi kama yalivyo majizi mengine,” amesema
Tags
Vyeti Feki