Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisoma hotuba ya kuhitimisha Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili
12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
(kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha Hoja yake ya
Makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018,
bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisoma hotuba ya kuhitimisha Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili
12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
WAZIRI MKUU MAJALIWA