Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Bi.Amina Masenza pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. William Lukuvi kuangalia mto Ruaha Mkuu ambao kina cha maji
kimeshuka sana kutokana na uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli
za kibinadamu.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. William Lukuvi akimuelezea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan namna mto Ruaha Mkuu ulivyoathirika kutokana na uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli
za kibinadamu, Makamu wa Rais aliongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mhe. January Makamba na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Bi.Amina Masenza kujionea madhara ya uharibifu wa mazingira kwenye mto Ruaha Mkuu.

Kima cha Maji kikiwa chini kabisa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassanakizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ambapo alimuelezea Makamu wa Rais kuwa Hifadhi hiyo inapata idadi ndogo ya watalii kutokana na barabara kutokuwa nzuri, gharama za usafiri wa anga kuwa kubwa ambapo Makamu wa Rais amemuahidi kulifanyika kazi suala la barabara.

Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Iringa ambapo alisisitiza juu ya utunzaji wa Mazingira pamoja na kutunza amani ,kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba.

Mkuu
wa Mkoa wa Iringa B. Amina Masenza akizungumza wakati wa mkutano wa
Makamu wa Rais na Wazee wa Iringa ambapo pia walialikwa viongozi wa
dini, wakina mama, wafanya biashara na wanafunzi wa vyuo vikuu.

Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Donald
Mtetemela akizungumza wakati wa mkutano na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mjini Iringa ambapo
aliwataka wananchi wa mkoa huo kutunza mazingira hasa ya Milima ya asili
ya mkoa huo.

Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Mstaafu Abbas Kandoro akizungumza wakati wa mkutano wa
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Wazee wa mkoa Iringa ambapo
alihimiza Wazee wa mkoa huo kuungana katika kampeni ya kutunza
mazingira.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI