Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia
mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja
ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya sana na roho ya
uharibifu
pia amethibitisha kuwa mtoto wa mwisho wa Flora siyo wa kwake kitu
amabacho kinapigia mstari kuwa Flora alizaa na mchungaji huyo kwani
ndiye alikuwa nae benet
