
Yaani kwa haraka haraka naona kama hawa wanawake wote members hapa wana vijana wa kuwaweka sawa(Nina marafiki wengi sana hapa so they tell me stuffs)
Wengi wanaliwa Kwenye magari wakati wa kwenda au kutoka na hawa hawa vijana wanaokutana nao Gym wenye six Packs
Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....
Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani
Ni tahadhari tu maana I have seen enough
Tags
Mapenzi