Afisa
wa Uhasibu Mwandamizi wa NSSF Tabora Bw. Mussa Ndelemiko, akitoa
utambulisho na dhumuni la ziara ya viongozi wa NSSF katika Kata ya
Mtendeni Manispaa ya Tabora Mkoani Tabora.
Afisa Mtendaji Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Bi. Rehema Midelo (kulia), akitoa utambulisho wa viongozi wa Kata.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz akizungumza wakati wa hafla ya
kukabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni Manispaa
ya Tabora, mkoani Tabora.
Diwani ya Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Kata ya Mtendeni.
Mifuko ya Saruji ikishushwa tayari kwa ajili ya makabidhiano.
Saruji ikishushwa.
Wananchi wakishuhudia makabidhiano hayo.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz (kulia), akikabidhi mifuko 50 ya
saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni wakiongozwa na Diwani wa Kata
hiyo Mh. Yahaya Mhamali katika hafla iliyofanyika mkoani Tabaro.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akitoa neno la shukrani NSSF.
Mkazi
wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani kwa msaada uliotolewa na
NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa NSSF katika
kuboresha ustawi wa jamii.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akishukuru msaada uliotolewa na NSSF.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akizungumza baada ya kukabidhi
mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni mkoani Tabora.
Diwani
ya Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali, akitoa shukrani zake kwa uongozi
wa NSSF baada ya kupokea mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa
Zahanati ya Mtendeni.
Mkazi
wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani kwa msaada uliotolewa na
NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa NSSF katika
kuboresha ustawi wa jamii.
Mkazi wa Mtendeni Bi. Fatma Said Makalla, akitoa shukrani kwa msaada uliotolewa na NSSF.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akifafanua jambo wakati wa hafla
ya kukabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni mkoani
Tabora.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora, Mh. Yahya Mhamali akimuonyesha Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akiangalia eneo litakalojengwa Zahanati hiyo.
Kukagua eneo la ujenzi wa Zahanati.
Picha ya pamoja katika eneo la ujenzi wa Zahanati hiyo.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz akiwa kwenye picha ya pamoja na
Mh. Diwani wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Mh. Yahya Mhamali
(mwenye koti), Afisa Mtendaji wa Kata Bi Rehema Abubakar Midelo pamoja
na wafanyazi wa NSSF Tabora.
Tags
AFYA



















