Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume pamoja na
mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere kwenye sherehe za Miaka 53 ya
Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Raisn Mstaafu wa awamu
ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye sherehe za Miaka 53 ya
Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili kwenye sherehe za Miaka 53 ya
Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye sherehe
za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na walioshiriki katika
zoezi la kuchanganya udongo kuasisi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma
Gadi ya “Komando” la vijana likiwajibika kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Onesho la ndege vita kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Onesho la mbwa wa polisi kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Onesho la Komandoo wawili kuvuta
lori la tani 7 kwa mikono kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
PICHA NA IKULU