Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la
kwanza mara tu baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya awali.
Mzee Nyamhanga Seguta alifikia uamuzi huo baada ya kuteseka sana na mahesabu katika biashara yake ya kuuza ndizi.
Tags
MAAJABU
