Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni
uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto)akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe.
Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika
ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto)akikabidhiwa zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini
Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao
kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania,
katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika
kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa
Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini
kwake Mjini Dodoma
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Tags
NDUGAI