Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa
na SerikalizaMitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akitoa hotuba ya
ufunguzi kwa washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa
Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi
rasmi wa mishindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya
vinywaji baridi ya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo.
Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau
mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa
michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa
Aprili 28, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Bw Yusuf Singo
akizungumza na washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa
Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi
rasmi wa wamishindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni
yavinywajibaridiya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo.
Katikati ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoana SerikalizaMitaa
(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiwa pamoja na Afisa Msimamizi wa Copa
Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto). Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa
wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na
Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika
uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.
Afisa Msimamizi wa Copa
Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto) akizungumza na washiriki wa semina
elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa
ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa mashindano ya michezo ya
Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola
imeendelea kudhamini mashindano hayo. Katikati ni Naibu Waziri wa
Tawalaza Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiwa
pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Bw Yusuf Singo (kulia). Semina hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali
kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii
utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28,
2017.
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiteta na viongozi
mara baada ya kumalizika kwa semina.
Meza kuu.
Tags
COPA UMISSETA 2017