Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo
kutoka kwa Crispin Prospher Mwombeki wa kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya
Mecco wakati Rais alipotembelea ukarabati wa barabara ya Chwale
(Madenjani) mpaka Mzambarautakao inayojengwa na kampuni hiyo yenye
urefu wa kilomita tano (5km) katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba leo akiwa katika ziara ya kikazi (kulia) katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Nd,Mustafa Aboud Jumbe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Nd,Mustafa
Aboud Jumbe (kulia) wakati alipotembelea ukarabati wa ujenzi w Barabara
ya Chwale (Madenjani) mpaka Mzaambarautakao leo inayojengwa na kampuni
ya Ujenzi wa Barabara ya Mecco yenye urefu wa kilomita tano (5km)
katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya
kikazi (kulia) .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akipata
maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na
Miundombinu Nd,Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipokuwa akiangalia
mashine ya kutilia lami (PAVER) ya kampuni ya Mecco leo wakati
alipotembelea ukarabati wa ujenzi wa Barabara ya Chwale (Madenjani)
mpaka Mzambarautakao inayojengwa na Kampuni hiyo yenye urefu wa
kilomita tano (5km) katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,
akiwa katika ziara ya kikazi (kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)akitoa maelekezo kwa
Mkandarasi wa Kampuni ya ZECON ya Zanzibar Nd,Ali Mbarouk Juma (kulia)
wakati alipofika Daya Mtambwe Kaskazini Pemba kuangalia hatua za Ujenzi
wa Chuo cha Mafunzo ya Amali leo akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa
Kasakazini Pemba,(wa pili kulia)Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na
Wananfunzi wa Skuli ya Daya Mtambwe leo alipotembelea Ujenzi wa Chuo
cha Mafunzo ya Amali unaojengwa na Kampuni ya kizalendo ya ZECON ya
hapa Zanzibar, akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kasakazini Pemba .
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya
Daya Mtambwe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika Skulini
hapo leo kuangaalia ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali unaojengwa na
Kampuni ya kizalendo ya ZECON ya hapa Zanzibar akiwa katika ziara ya
kikazi Mkoa wa Kasakazini Pemba [Picha na Ikulu.]03/04/2017.
Tags
ZANZABAR