
Mnamo tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu, Mwandishi Jon Yeomans wa gazeti
la telegraph la nchini Uingereza alifanya mahojiano na Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA, Brad Gordon.
Pamoja na mambo mengine, Mtendaji Mkuu huyo wa ACACIA alisema kwa kukiri
kuwa mikataba/makubaliano kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na kuwa ya
kisheria lakini hayakuwa ya usawa.
Tags
acacia