HomeAjali Breaking News: Basi la Ally's na basi la Isanzu Yagongana Uso Kwa Uso byJohn Banda -Tuesday, May 09, 2017 0 Basi la Ally's lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora limegongana na basi la Isanzu uso kwa uso lililokuwa linaelekea Mwanza kutoka Kahama Ajali imetokea saa mbili asubuhi eneo la Samuye barabara barabara ya Shinyanga.Hali ya dereva wa basi la Isanzu si nzuri. Watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya rufaa Shinyanga,hakuna mtu aliyepoteza uhai kwenye ajali hii. Tags Ajali Facebook Twitter