| Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini ambaye pia ni MNEC wa CCM A nthoni Mavunde akizungumza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika kilele cha ziara ya Bulembo |
| Wananchama wa CCM wakifuatilia jambo katika ukumbi wa White House mjini Dodoma wakati hotuba mbalimbali zilipokuwa zikitolewa siku ya mwisho ya ziara ya Mnec Abdala Bulembo katika wilaya ya Dodoma |
| Wanaccm wakiwa ukumbini hapo |
| Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Mapinduzi Barozi Lusinde akakazia jambo kwenye mkutano huo |
| Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini Paulo Luhamo akizungumza jambo |