BANDA MEDIA BLOG

HII NDIYO TASWILA YA MJI WA DODOMA KABLA YA MCHEZO WA SIMBA NA MBAO UNAOPIGWA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI....!!!

Katika mtaa wa mjipya mjini Dodoma uliyo karibu na uwanja wa jamhuri kutakapopigwa Mchezo kati ya Mbao na Simba mashabiki hawa wamekutwa wakishangweka kabla ya mchezo huo
Mmoja wa mashabiki wa Simba akionyesha vidole 3 kama akiashiria timu yake kuibuka na ushindi huo dhidi ya Mbao Fc

Kwenye Foleni za kuingilia uwanjani nako wapo hivi mashabiki hao  [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]

Mashabiki wakiendelea kununua Tiketi za kuingilia katika mchezo huo

Makundi ya mashabiki wakiwa kwenye Foleni

Mchinga wakiuza jezi




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG