
Mara nyingi tumekuwa tukipokea maswali kuhusu maana ya kinga ya mwili
wengi wakihitaji kujua kinga hizo ni kitu gani na zinaweza kuimarishwa
vipi.
Kimsingi kinga za mwili huweza kupanda au kushuka kutokana na chakula
unachokula au vinywaji unavyokunywa, lakini pia hata mazingira mazima ya
maisha kwa ujumla
Mwili ulibuniwa na Mungu uweze kujitibu wenyewe bila kuhitaji dawa
yoyote isipokuwa mwili unaweza kupambana na matatizo kutokana na vyakula
unavyokula na kunywa. Shida ni kuwa watu wengi hatujuwi tule nini kwa
ajili ya nini, mara nyingi tunakula ili tushibe.
Fanya chakula kiwe ndiyo dawa zako na si dawa kuwa chakula kwako. Kinga
yako inapokuwa na nguvu ya kutosha huwezi kuugua ugonjwa wowote
kirahisirahisi.
Vifuatavyo ni vyakula 14 vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga za mwili.
Matunda
Katika mlo wako wowote jitahidi usiache kujumuisha angalau tunda la aina
moja. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, mtu asiyekula matunda ana hatari
kubwa zaidi ya kupata magonjwa zaidi ya mlaji wa matunda.
Asali
Asali halisi husaidia kuimarisha pia kinga za mwili, lamba kijiko kimoja
cha chakula kila siku kutwa mara tatu kwa mwezi mmoja itasaidia
kuimarishakinga zako za mwili.
Juisi ya ubuyu
Pata kikombe kimoja cha juisi ya ubuyu kila siku kwani juisi hiyo
inawingi wa vitami C nyingi ambazo husaidia pia kuimarisha kinga za
mwili.
NaziMatumizi ya nazi huweza kusaidia kuimarisha kinga za mwili kutokana
na kuwa na mafuta yaitwayo ‘medium chain fatty acids’ ambayo husaidia
kuimarisha kinga ya mwili na hivyo kuupa mwili uwezo wa kuyashinda
maradhi mbalimbali.
Tangawizi
Ni moja ya kiungo ambacho kinaingia kwenye orodha hii ya kuimarisha kinga za mwili pia.
Mtaalam Mandai anaeleza kuwa ukiona umeshindwa kabisa unaweza
kuwasiliana naye ili akupatie moja ya kirutubisho murua ambacho huweza
kusaidia kuongeza kinga za mwili (kipo hapo chini kwenye picha)