BANDA MEDIA BLOG

LIONEL MESSI ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWEZI LA LIGA


403C28B200000578-4499792-image-a-83_1494594384227
Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga.
Raia huyo wa Argentina amefunga mabao 51 katika mechi 49 hivyo kumfanya kushinda tuzo hiyo kwa Aprili lakini kwake inakuwa ni mfululizo.
Tayari amepachika mabao 504 akiwa na kikosi cha Barcelona.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG