Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui
na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja
ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya
afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye
ila alikuwa na fedha za kutosha
Tags
Emmanuel Mbasha
