Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari
byJohn Banda-
0
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees Groenendijk
(kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari
waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Mfuko huo
leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi na kutoa
semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia taasisi
zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees Groenendijk
(kushoto) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari
waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Mfuko huo
leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi na kutoa
semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia taasisi
zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.Mwanasheria
kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold
Sungusia (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari
waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Wanatasnia
hao wa habari wamepata fursa ya kujadiliana kwa pamoja na LSF namna
vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa haki kwa ujumla
kwa jamii.Baadhi
ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali
vya habari wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Fedha za
Msaada wa Kisheria (LSF) kwa na kuzungumzia mchango wa vyombo vya habari
katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.Baadhi
ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali
vya habari wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Fedha za
Msaada wa Kisheria (LSF) kwa na kuzungumzia mchango wa vyombo vya habari
katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.Mwanasheria
kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold
Sungusia (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari
waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Wanatasnia
hao wa habari wamepata fursa ya kujadiliana kwa pamoja na LSF namna
vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa haki kwa ujumla
kwa jamii.Wakili
Harold Sungusia akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada kwa
baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari
iliyoandaliwa na LSF.Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada anuai.Ofisa
Uhusiano wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Robart Zephania
(mbele aliyesimama) akizungumza katika semina hiyo.