Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa pili
kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi
kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika
ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo
amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda,
Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job akipokea zawadi kutoka Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi.
Tags
Spika wa Bunge