Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki anayemaliza muda wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta
Museveni wa Uganda kukalia kiti cha Uenyekiti alipomkabidhi wadhifa huo
leo wakati wa Mkutano wa 18 wa Kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo
katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Mei 20, 2017
Tags
EALA