BANDA MEDIA BLOG

RAIS WA ZANZIBA MH. DK SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEIMOSI) MAHONDA


KAN1
Masheha wa Kaskazini Unguja wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), wakati wa maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakishikana mikono kuonesha ishara ya Mshikamano wakati wimbo maalum wa siku ya Wafanyakazi Duniani ukiimbwa katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

KAN3
Mwakilishi wa Shirika la Wafanyakazi Duniani ILO Bw.Abert Okelo alipokuwa akitoa salamu za Shirika lake wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo  katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Taarifa ya Mwenyekiti wa Chama cha Waaajiri Zanzibar ZANEMA Bw.Salah A.Salah wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Kilele cha Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Risala  ya Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar Maalim Khamis Mwinyi wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Kilele cha Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN6
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Maudline Cyrus Castico alipokuwa akizungumza na wananchi na kumkaribisha Mwenyekiti wa Vyama vya Wafanyakazi katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,zilizofanyika katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Asia Hassan Shariff Mfanyakazi wa Chama cha ZUPHE kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Cheti na Fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Millioni moja,(1,000,000,00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B “Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN8
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Khalifa Muumin Hilali  Mfanyakazi wa Chama cha ZAFICOWU kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF,Cheti na Fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Laki saba (700,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B “Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Asia Ismail Mohammed  kutoka ZUPHE katika Ofisi ya Rais Ikulu,Cheti na Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Laki sita (600,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B “Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
KAN10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Juma Mohammed Simai   kutoka ZUPHE katika Ofisi ya Rais Ikulu,Cheti na Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Laki sita (600,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B “Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG