Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Moahammed Mahmoud mara baada ya
kuwasili Zanzibar akitokea Djibouti kwa Ziara ya Siku Tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na Wakuu
wa Vikosi vya SMZ mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Djibouti kwa
Ziara ya Siku Tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na
Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea
Djibouti kwa Ziara ya Siku Tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein wa kwanza kulia akizungumza na
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali mara baada ya kuwasili
Zanzibar akitokea Djibouti kwa Ziara ya Siku Tatu.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Tags
Dk Shein