Upinzani wamefungua shauri Mahakama Kuu Dodoma wakiiomba mahakama itamke
kuwa Spika ataliongoza Bunge kwa kufuata kanuni za kudumu tu.
Hii ni baada ya Spika kumzuia John Mnyika kuhudhuria bunge kwa wiki moja
ambapo upinzani wamedai hakuna adhabu kama hiyo kwenye kanuni.
Wabunge Watatu Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema Wamemfungua
Mashitaka Mahakama Kuu Ya Dodoma Kupinga Uamuzi Wa Bunge Kuwapa Adhabu
Halima Mdee, Estar Bulaya Na John Mnyika
Mdee, Mnyika Na Bulaya Wawashitaki Spika Na Mwanasheria Mkuu
Hakuna kanuni inayosema Spika anao owezo wa kumfungia Mbunge siku saba.
Haipo, bali anaingiza kanuni zake mwenyewe kutoka kichwani mwake.