BANDA MEDIA BLOG

HIVI NDIVYO DODOMA FITNESS JOGGING & SPORTS CLUB WALIVYOTOA MSAADA WA CHAKULA NA VINYWAJI KWA AJILI YA EID EL- FITRI KWA WATOTO WANAOLELEWA NA KITUO CHA RAHMAN ORPHANAGE CENTRE CHA CHANG'OMBE DODOMA

Mtunza Hazina wa Dodoma Fitness Jogging Clara Macha akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika kitio Cha Rahman Chang'ombe Juu Mara baada ya Kukabidhi msaada wa vyakula na vinywaji.
Mwalimu wa Dodoma Fitness Jogging Mussa Omary akiwaongoza watoto wananolelelwa na kituo cha Rahman kufanya mazoezi kabla ya Club hiyo kukabidhi msaada wa vyakula na vinywaji vya thamani ya zaidi ya laki 4
Baadhi ya wanamichezo hao wakifanya mazoezi pamoja na watoto hao katika viwanja vya kituo hicho [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]
 




Picha ya pamoja kati na watoto wa hao baada ya kukabidhiwa msaada huo









Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG