| Upendo David Mazoya |
| Upendo Mazoya katika Pozi [PICHA NA VIDEO JOHN BANDA WA BANDA BLOG 0754 720 777] |
| Mashangazi wa Bibi na Bwana Harusi Watarajiwa wakicheza Ngoma ya Kisukuma katika ukumbi wa Cavilam mjini Dodoma wakati wa sherehe ya Kumuaga [SEND OFF] Bi Upendo Magoma Hayupo pichani |
| Wageni Waalikwa Wakicheza Kwaito pamoja na Bibi Harusi Mtarajiwa katika Ukumbi wa Cavilam Mjini Dodoma |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Maandilizi ya Send Off ya Upendo Mazoya Mwalimu Lenjole akizungumza jambo mbele ya Bibi Harusi Ntarajiwa na Wajumbe wa Kamati hiyo |
| Picha ya Pamoja na Ndg zake |
| Asante Kunisimamia Rafiki yangu Valeth Mhiga |
| Maharusi Watarajiwa Faustne Magoma na Upendo Mazoya wakifurahia Jambo wakati wa Send Off ya Bibi Harusi huyo Mtarajiwa katika Ukumbi wa Cavilam Mjini Dodoma |
| Kaka wa Bibi Harusi Akimpatia Zawadi ya Pesa Dada yake Huku akizisindikiza na Ujumbe Kuwa alivyotoka Nyumbani Ndivyo akaendelee Kuishi |
| Asante Kwa............. |
| Bwana Harusi Mtarajiwa Fausitine Mahaiga akiwa na Msimamizi wake Denis Mahelela wakati wa Tafrija hiyo |
| Shangazi wa Bibi Harusi Sara Thomas akipata Chakula Kwenye Tafrija hiyo |
Tags
SEND OFF