![]() |
| Nguruwe |
![]() |
| Kitimoto ikiwa imeandaliwa tayari kwa kuliwa na ndizi |
![]() |
| Mazao Mengine ya Kitimoto |
Ofisa Habari wa Manispaa hiyo Ramadhan Juma amesema kutokana na hali hiyo ni marufuku kufanya biashara ya mnyama huyo wala mazao yake mpaka itkapotangazwa vinginevyo
Iadha amesema kuanzia sasa mnyama wa jamii ya nguruwe kwa maana ya Nguruwe Poli, Ngiri na hata nguruwe wa kufugwa hawata luhusiwa kuingia wala kutoka Dodoma mpaka kwa kibali maalumu kutoka Manispaa
Tags
NGURUWE




