
Aidha, katika shambulio hilo Polisi nchini humo imesema kuwa imewakamata
watuhumiwa 12 ambao wanadaiwa kuhusika katika shambulio hilo la kigaidi
ambalo ni baya kutokea kwa nchi ya Uingereza.
Hata hivyo, ulinzi umeimarishwa na msako mkali dhidi ya wahusika
unaendelea jiji humo huku bado kukiwa na hofu kubwa ya mashambulizi
mengine kutoka kwa magaidi hao jijini London.
Tags
SIASA