
Wabunge wataka Washehereshaji(MCs) na Wapiga picha waanze kutozwa kodi ili Serikali iweze kukusanya mapato ya kutosha.
Wakati huo huo, Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Allan Kiula amesema
maeneo mapya ambayo yanaweza kuanzishiwa kodi kuwa ni pamoja na Ushauri
Elekezi (Consultancy Agencies) sambamba na kuimarishwa kwa ukusanyaji wa
kodi ya zuio ya asilimia 10 kutoka kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba
na makazi.